Mh. Rais akisisitiza jambo katika mkutano huo uliofanyika Rutgers New Brunswick New Jersey, Chuo cha Rutgers kinamahusiano na chuo kikuu cha Dodoma na mkutano huo uliandaliwa na Rutgers' Centers for Global Advancement and International Affairs (GAIA Centers)
and the Center for African Studies (CAS). Na walimwalika Mh. Rais Kikwete shuleni hapo. Watanzania wa N J, N Y na PA walipata nafasi ya kuudhulia mkutano huo na kupata ukodak na Mh. Rais Jakaya Kikwete.
Mh. Rais akisalimiana na Watanzania kabla kuingia ukumbini
Mke wa Mkuu wa Wilaya ya Springfield Bwana Isaac Kibodya akisalimiana na Rais kabla kuingia ukumbini.
Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa alikuwepo pia.
Viongozi wa NYTC, Dr Temba, Mariam na Chiume walikuwepo pia kwenye mkutano huo. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Kwa Picha zaidi tembelea. www.tembaphoto.com
6 comments:
uraia pacha mmemuambia kilo chenu au tena ndo mnangaa ngaa mimacho na kufurahia kupiga picha na yeye
haya haya tena udokoz time raia pacha kapuni.
Wewe ulikuwa wapi? Kama ni kazi rahisi kumwambia suala la uraia pacha si ungeleta kiherehere chako uje kumwambia. Mijitu mingine bwana huwa hata haifikirii inajua kuropoka tuu, hapo ulipo huna hata green card ulikuja kutembea ukazamia halafu unajidai uraia pacha khaa!!!
Kapu la nyanya au maembe? Tupishe huko
Tunadai tuna uongozi wa jumuiya!! Mbona hawa kuitisha mkutano na Mhe Rais? Kazi kugombana tu na kutukanana! Its time for a serious change? New leadership and new agenda.
Mtuache na Raisi wetu kipenzi ! Uraia pacha my foot !! Kakuambia nani kila mtu analilia uraia pacha ! Wengine hata kodi nyumbani hamlipi , ajira hamtoi !! Tanzania oyeee!! Ukodak saaana !!! Adumu Mheshimiwa Raisi Dr. Jakaya Kikwete !!!
Post a Comment