Advertisements

Saturday, September 27, 2014

Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa

Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto) Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto)Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo. Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifafanua jambo katika mkutano huo kwa wanahabari.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifafanua jambo katika mkutano huo kwa wanahabari.Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leoBaadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo. Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo.Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakishirikishaja jambo kwenye mkutano na wanahabari. Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakishirikishaja jambo kwenye mkutano na wanahabari.

1 comment:

Anonymous said...

Syndrome ya kushindwa kutoa maamuzi magumu ndio chimbuko la kukwama mambo mengi Tanzania. Siku zote nchi yetu haiko tayari kwa kila jambo.Mambo ya EAC, hatukuwa tayari, tukaja na kashfa nyingi kwa muungano wa COW etc, katiba nayo hatuko tayari, bandari hewa, New airport terminal, etc of course hatukuwa tayari...