ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 13, 2014

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 24.6 WIKI YA NENDA KWA USALAMA

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga.
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga (wa pili kushoto) mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama inayotarajia kuanza hivi karibuni. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana, ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu  Kamishna Mohamed Mpinga (wa pili kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Usalama Barabarani, Henry Bantu.
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kushoto) na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu  Kamishna Mohamed Mpinga wakionesha moja ya fulana zilizotolewa msaada na TBL kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili hiyo. Fedha hizo pia zitasaidia upimaji wa afya za madereva. 
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia) akimkabidhi  moja ya fulana na cheti Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu  Kamishna Mohamed Mpinga kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili hiyo. Kushoto ni  Mganga Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, SSP Charles Msenga
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve  Kilindo (kulia) akimkabidhi  moja ya fulana na cheti Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu  Kamishna Mohamed Mpinga kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. TBL ilikabidhi pia hundi yenye thamani ya sh. mil. 24.6 kwa ajili hiyo.

 Baadhi ya maofisa wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakishuhudia makabidhiano hayo
 Kamanda Mpinga akitoa shukrani kwa TBL kwa msaada huo muhimu utakaosaidia pia kupima afya za madereva
 Baadhi ya kofia zilizokabidhiwa
 Baadhi ya fulana zilizokabidhiwa
 Baadhi ya maofisa wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa katika hafla hiyo
 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga
Kamanda Mpinga akimshukuru Kilindo
(PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

1 comment:

Anonymous said...

Hawa polisi wanapewa misaada kila siku lakini hakuna cha maana wanachokifanya. Kila siku ni ajali tu hakuna wanachofanya zaidi ya kuchukua rushwa.Majambazi yanatamba hakuna anayewazuia.