Advertisements

Friday, September 12, 2014

Watoto - Columbus Ohio Washeherekea Sikukuu ya Mikaeli na Watoto - 07 Septemba 2014

Ibada ya Kiswahili yasheherekea Sikukuu ya Mikaeli na Watoto - 2014
Watoto wasoma mistari ya moyo ya Bibilia kwa Kiswahili
Watoto wahubiri Injili kwa Lugha ya Kiswahili
Watoto waonyesha vipaji mbalimbali
Watoto kwaya waimba nyimbo kwa Kiswahili
Karibu upate taarifa za matukio ya Sherehe katika picha
Ibada ya Kiswahili Columbus - Ohio (c) IYK-Columbus
"Pamoja kwa Umoja Mungu ametupa nafasi ya kuinua vipawa na kulitangaza Jina la Yesu kwa Lugha ya Kiswahili, popote Duniani. Jina la Bwana libarikiwe na Mungu atubariki Sote!!"
Kwaya ya Watoto - Wakiimba wimbo wa Sala ya Bwana
Kwaya ya Watoto - wakiimba wimbo wa "Watoto na Malaika"

 
Mistari ya moyo kwa Kiswahili

 Mistari ya moyo kwa Kiswahili
 Mistari ya moyo kwa Kiswahili
Mistari ya moyo kwa Kiswahili
Mistari ya moyo kwa Kiswahili
Mistari ya moyo kwa Kiswahili
Mistari ya moyo kwa Kiswahili
Mistari ya moyo kwa Kiswahili
Mahubiri ya Injili kwa Kiswahili
Mahubiri ya Injili kwa Kiswahili
 Mahubiri ya Injili kwa Kiswahili
Vipaji vya Uimbaji kwa Kiswahili
Vipaji vya Uimbaji kwa Kiswahili
Vipaji vya Uimbaji kwa Kiswahili
Watoto wakishiriki chakula kilichoandaliwa kwa Sherehe ya Watoto na Mikaeli
Watoto wakishiriki chakula kilichoandaliwa kwa Sherehe ya Watoto na Mikaeli


Baraka  na kusherehekea kwa Wote!! 
Baraka  na Sherehe  Kwa Wote!! 


Sherehe kwa Wote!!!
Karibuni Wote na tembelea tovuti ya Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio
www.iykcolumbus.org

No comments: