Advertisements

Friday, October 3, 2014

Balozi mpya wa Ufaransa awasilisha nakala za Hati za Utambulisho

Balozi mpya wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage 
Mhe. Beraki akiweka saini katika kitabu cha wageni 
Balozi Malika Berak akizungumza na Balozi Maharage mara baada ya kuwasilsha nakala za Hati za Utambulisho 
Kushoto ni mkurugenzi msaidizi Idara ya Itifaki Bw. James Bwana, kulia ni Afisa Mambo ya Nje Bi. Mona Mahecha wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Malika Berak na Balozi Maharage 

Picha na Reginald Philip

No comments: