Advertisements

Monday, October 20, 2014

DIAMOND NA KUNDI LAKE KUWASHA MOTO TANZANIA@53 DEC 6 WASHINGTON DC




6 comments:

Anonymous said...

Si kazomewa huyo mnamchukuanyieee hayaa

Anonymous said...

wadau yale yalofanyika Ujerumani mnataka kuyaleta Amerika mtaumbuka. Kwani hatuna wasanii wengine ni Diamond tu tunahangaika naye au kuna diliii???.

Anonymous said...

Tuwe wa wazi na wa kweli, Inawezekana Kiba akawa ana sauti nzuri kuliko Diamond! Ila mnyonge mnyongeni, Diamond ana jituma sana! Kiba hawezi kufikia mafanikio
ya Diamond hata akeshe akiomba kwa 40 days! Nawapenda wote, ila Diamond yupo juu sana

Anonymous said...

Kweli ndugu zangu mmezidi kukandia, kwa wabongo hata ufanye nini lakini hawaoni , Diamond ni mfanyakazi mzuri anajituma kupita kiasi , muacheni aje Kama haumtaki uishe tu tu siyo kashfa .

Anonymous said...

Mleteni Diamond, tutakuja kumuona, hayo ya kuzomewa bongo hayatuhusu!

Anonymous said...

Yupo juu sana...wapi? mbinguni?
Kolabo moja na Davido tu, lakini kwa ukali Kiba no 1 hilo halina ubishi kama utaki poa tuu..