Advertisements

Wednesday, October 1, 2014




EID UL’HAJJ - NORTH CAROLINA
MABADILIKO YA RATIBA: Tunapenda kuwakaribisha nyote katika sala ya Eid itakayofanyika msikitini wa Parkwood site kuanzia 8am-9am ya October 4th. Ratiba ni kama ifuatavyo.
~~~~~~~~

  1) 7am : Kuondoka millennium hotel kuelekea msikitini
2800 Campus Walk Avenue, Durham NC 27705


2) 8am–9am : sala ya Eid na khutba Parkwood site: 5122 Revere Rd, Durham NC 27713


3) 9am : Kuondoka msikitiki kurudi millennium Kwenye convetion ya DICOTA
2800 Campus Walk Avenue, Durham NC 27705


Kwa taarifa Zaidi wasiliana na: Nassor Basalama (415)316-5247 au Hajj Abdallah (919)672-6063


~~~TUNAWATAKIA NYOTE MKONO WA EID~~~

No comments: