Wakazi wa Arumeru mkoani Arusha wamejipitishia sheria ambayo tayari imeanza kutumika ya kuwatandika viboko 70 hadi 120 wasichana wanaovaa nusu uchi na wavulana wanaovaa mlegezo, kuvuta bangi, wizi, matusi na ulevi nyakati za kazi.
Je, unawaunga mkono katika hilo na sheria hii ianze Tanzania nzima au unawapinga?
1 comment:
DUU SIVUTI TENA BANGI MCHANA,,,!!TOOBA
Post a Comment