Timu ya Vijimambo leo tumepata email kutoka kwa mteja wa CRDB aliyejitambulisha kwa jina la Mtemi Ramadhani kuhusiana na kadi za ATM za CRDB kugoma kutoa fedha kwenye ATM za benki hiyo na hii ndio email ya mteja huyo alivyoiandika
"Ndugu zangu Mimi ni mdau mkubwa wa Blog yenu naomba kutoa kilipo changu Kuhusu Card za ATM za Benki ya CRDB.Nipo Uk mjini Birmingham na Leo ni Siku ya 16 nashindwa kutoa fedha kwa kutuma Card yangu.Nimemtuma mtoto ameenda Kijitonyama CRDB ulipo akaunti yangu bila mafanikio.Ameenda. Makao makuu Yale Yale sasa wanataka turudi enzi za kutembea na hela Kwenye kapu? Inasikitisha sana.Kununua vitu online inafanya kazi Kwenye ATM Hapana.Naitwa Mtemi Ramadhani naomba mnisaidie kuufahamisha uma Kazi njemana"
Vijimambo ilimpigia simu Lucy Naivasha mkuu wa kitengo cha Acc ya Tanzanite anayeshughulikia na wateja wa benki hiyo waliopo nje ya nchi kwanza alianza kwa kumuomba radhi Mtemi Ramadhani MSIKIZE hapo chini
3 comments:
Vijimambo siku hizi hamna habari za maana za kureport
Why mnaweka pesa kwenye account hizi Tanzania. Mimi nipo USA na nakwenda bongo most of the time, natoa pesa kwenye card yangu ya Wells Fargo, na kama unataka familia yako wabaki na kadi wachukulie duplicated card kutoka bank yako na waarifu kwamba pesa zitatoka Tanzania na UK. Charges are insignificant compare na Tanzania
Luka, jaribu kuji-introduce kwa mtu unayo pata naye mazungumzo. Mambo ya kutoka mzima mzima ngoma inaonekana sio professional. Mfano Mimi ni .... ni Vijimambblog team ... from USA na uko record line ...
Na huyo dada mambo ya Customer Service sio mchezo ajitahidi zaidi. Mambo mwambie anipigie simu hiyo ni personal. Hii doesn't guarantee the service. U need to reach customer right away excuse doesn't serve the purpose.
Post a Comment