MHE. JAMES MBATIA ATEMBELEA MAKABURI YA WAZAZI WAKE NYUMBANI KWAO KILUA VUNJO
Mh. James Mbatia akifanya sala mbele ya Makaburi ya Wazazi wake alipotembelea nyumbani kwao.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.James Mbatia akiwa na viongozi wa Chama hicho mkoa wa Kilimanjaro wakati alipotembelea eneo hilo.
No comments:
Post a Comment