Advertisements

Monday, October 27, 2014

Msiba Mwingine Minnesota

Ndugu ,Jamaa na Marafiki .
Tunasikitika kuwataarifu ya kuwa Mama Mzazi wa Cuthbert (CM) na Martha Lema amefariki dunia jana usiku Arusha Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kule Machame ,Tanzania .

Kwa Marekani, Msiba utakuwepo nyumbani kwa CM & Martha huko Apple Valley -Minnesota.
Adress:
15483 Flight Way,
Apple Valley, MN 55124.

 Kama ilivyo desturi yetu,tutakutanika nyumbani kwao leo jioni kuanzia saa kumi jioni kuwafariji na kuleta rambi rambi zetu kwa pamoja.Tunaomba tujitokeze kuwawasaidia wenzetu ktk kipindi hiki kigumu.
Unaweza kuweka mchango wako/rambi-rambi kwenye bank account ifuatayo:-

Martha Muwowo,
Wellsfargo Bank
Account  # : 2557793151.

Kwa taarifa zaidi,unaweza kuwasiliana na wafuatao:-
CM & Martha 952-564-1820
Nevile & Jaha Lema 612-964-4218.
Joel  Mburu 952-217-0265
Charles Semakula 952-465-1130.
Mama Alan 651-329-1421.
January Mwita 651-500-3630.
Jackson Mollel 651-334-0163



Tafadhali tunaomba uwajulishe na wengine taarifa hizi,

Bwana Alitoa,Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Libarikiwe,

Ahsanteni,
Kwa niaba ya familia ya Maleko Lema,
CM & Martha Lema.

No comments: