ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 5, 2014

SHEHERA ZA EID AL UDHA ILIVYOSHEREHEKEWA NA WANA DMV HUKO MARYLAND USA, ZIKIWEMO NA PROGRAM ZA WATOTO

Mwenyekiti wa jumuiya ya waislam DMV (kushoto) Ustadh Ali Mohammed akiwa na mmoja wa wageni rasmi katika meza kuu Canal Ruta (kulia)
 Meza kuu ikiwa na wageni rasmi, kutoka kulia ni Canal Ruta kutoka ubalozi wa Tanzania Washington DC, akimwakilisha mheshimiwa balozi akiwa katika shughuli nyengine za kikazi, wapili kulia ni balozi Ali Karume, wa tatu, rais wa TAMCO DMV, na wanne kushoto ni mke wa balozi Ali Karume
Meza kuu ilikwa na wageni rasmi, kutoka kulia ni Canal Ruta kutoka ubalozi wa Tanzania Washington DC, akimwakilisha mheshimiwa balozi, wapili kulia ni balozi Ali Karume, wa tatu, rais wa TAMCO DMV, na wanne kushoto ni mke wa balozi Ali Karume

Rais wa TAMCO akitoa nasaha zake katika sherehe za EID na kuwakaribisha wageni rasmi na wao kutoa salam zao watanzania wailifika katika dhifa hiyo

Balozi Karume akitoa nasaha na kuwashukuru waislam wa DMV kwa umoja wao jinsi wanavyoshirikiana, na kuelezea historia yake fupi ya sehemu mbali mbali alizotumikia taifa nje ya nchi kwa miaka 32 ametoa mfano mzuri kwa wana DMV kupitia jumuiya ya waislam TAMCO kuwa ni mfano wa kuigwa
 Sheikh Kassim Mussa (kushoto) Hussien (katikati) na mzee Ali wakisikiliza kwa makini, risala kutoka kwa Canal Ruta ambaye hayupo pichani
 Watoto wakifuatilia kwa makini masuali na majibu ya dini ya kiislam waliokuwa wakiulizwa na dada Aisha Sharrif (ambaye hayupo pichani) wakipata zawadi,
 Kila mtoto hapo akiwa na shauku ya kupata zawadi siku hiyo adhim, wakiwa katika utulivu wa hali ya juu, kama desturi yao walivyozoeweya kuwa watulivu






































































































No comments: