ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 8, 2014

SHUKRANI ZA DHATI KWA WENYEJI WA NORTH CAROLINA, DICOTA, NA WAGENI WOTE WALIOHUDHURIA


JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAPENDA KUTOA SHUKURANI ZA DHATI KWA UONGOZI WA WENYEJI WA NORTH CAROLINA,  DICOTA, WAGENI RASMI NA  WOTE WALISHIRIKI KULETA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA MKUTANO WA DICOTA 2014.

TUNASHUKURU KWA UPENDO WENU WA DHATI, HUDUMA YA HALI YA JUU NA ELIMU KUBWA TULIYOIPATA.
TUMENUFAIKA NA KUJIFUNZA MENGI NA KUTUPATIA CHANGAMOTO YA KUSONGA MBELE
PAMOJA TUNAWEZA NA TUTAFIKA
ASANTENI SANA
UONGOZI WA JUMUIYA DMV  

2 comments:

Anonymous said...

Kwani dmv bado kuna uongozi wa jumuiya?wakati jumuiya ilishakufa na kufungwa kisheria. Is this a banter or what?

Anonymous said...

Pole saana Anonymous yaelekea source ya habari zako is not reliable .Badilisha haraka sana.