Advertisements

Sunday, October 19, 2014

USIKU WA SOUTH AFRIKA NA SIKU YA KUZALIWA YA TSHOLO

Tsholo kutoka Afrika Kusini akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya mgahawa wa Safari uliopo Washington, DC NW katika barabara ya Georgia usiku wa Jumamosi Oct 18, 2014.
Tsholo kutoka Afrika Kusini akiwana ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika nae kwenye siku yake ya kuzaliwa aliyeifanyia kwenye mgahawa wa Safari Washington, DC.
Tsholo akiruka rhumba kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Abbas na Alban (kulia) wakipata chakula kwenye mgahawa wa Safari.
Galus na mama mwenye nyumba wake wakisubili menyu yao.
Shedafa akiwa kiti kirefu ndani ya kiota cha Safari wiki ijayo kuna after Party ya mnuso wa harusi utakaofanyika ndani ya kiota cha Safari karibuni sana.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.


No comments: