ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 2, 2014

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF

Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana, Bw Kisasi akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, Bi Rosemary Chambe Jairo anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.
Maafisa waandamizi kutoka GEPF Bw Anselim Peter na Aloyce Ntukamazina wakifuatilia kwa makini. Mkurugenzi wa Uendeshaji kutoka mfuko wa GEPF, Bw Anselim Peter akiwasilisha mada kuhusu mpango wa GEPF Diaspora Scheme (GDS).
Baadhi ya Watanzania waishio Botswana wakifuatilia kwa makini mada zilizowasilishwa na mfuko wa GEPF.
Meneja Masoko kutoka Mfuko wa GEPF, Bw Aloyce Ntukamazina akisisitiza juu ya umuhimu wa watanzania waishio Botswana kuanza kujiwekea akiba kupitia GDS.
Bw Jimmy Joseph Mwambije Mtanzania aishie Botswana akijaza fomu na kujiunga rasmi na mpango wa GDS.

No comments: