Advertisements

Wednesday, October 1, 2014

WEMA AWAJIBU WANAOPIGA KILELE YA ZAWADI YAKE YA BMW

5 comments:

Anonymous said...

sasa hivi ndo anajua kuweka title of owner ship kamkopi lulu ha ha ha.afadhali kama ni kweli this time kapata kitu chake isije akaja kupokonywa wakati mapenzi yakigeuka shubiri.

Anonymous said...

sio tatizo hilo bongo kilakitu kinawezekana, kama inawezekana kutoa fake passport itakuwa hiyo karatasi? Amuulize Wolper..
ok fine, kama gari ni yake ila hawezi kununuliwa na Kadinda bwanaaaaa, yeye aende virtz alafu atoe zawadi ya BMW? huyooo kangwa tuuu. Gari aliyotoa Diamond mil.36 na BMW ya Kadinda 56. duuuuuu kweli mjini shule

Anonymous said...

Diamond amka toka usingizini, hiyo ni message tosha kaka kuwa kunawengine wenye mafungu kuliko wewe. I felt very sorry 4 your mom alikuwa anchorwa tu..

Anonymous said...

Mtakufa navyo vijiba vya roho. looh watu gani hata kwenye zuri mnaponda nyooo eti Diamond mama yako alikuwa anachorwa inakuhusu nini wewe mnafki mkubwa mind your dirty life

Anonymous said...

nakutakia kheir wema jaribu kusali na kuwa mtiifu kwa Allah mambo yote yatakuwa mazuri usijali ya watu wanaokupiga madongo,keep on moving baby and be focuse.its time to grow up baby wa diamond.