ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 5, 2014

BALOZI MPYA WA NORWAY AKUTANA NA DK.SHEIN ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi mpya wa Norway Nchini Tanzania Bibi Hanne Marie Kaarstad ambae alifika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu.]

No comments: