Wadau mbalimbali wakipata picha na Birthday Boy Dj Seif ndani ya kiota cha Safari club siku ya Jumamosi kwenye bash ya siku yake ya kuzaliwa.
Aminata (kati) na Melisa wakipata picha ya pamoja na Birthday Boy Dj Seif
Rehema akipata picha na Birthday Boy Dj Seif.
Julius Manase akiwa na mdhamini wa pendo lake wakipata picha ya pamoja walipokuwepo wakiwakilisha kwenye Birthday Bash ya Dj Seif.
Birthday Boy akipata picha na wadau
Picha na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland.
Kutoka kushoto ni Halima, Aminata na Melika wakipata picha ya pamoja na Di Seif
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment