Sweet kalulu
Zumba Kukwe
Akilizunguzia pambano hilo kwa wanahabari kiongozi wa ngumi za kulipwa na mratibu wa pambano hilo alisema “pambano la Zumba kukwe na sweet kalulu maandalizi yanakwenda vema chini ya udhamini wa George Nyasulu aliependekeza mchezo upigwe kibaha maili moja alipotokea zumba kukwe na kutanua wigo wa masumbwi nchini ,ngumi ziwe zinachezwa kila kona ya nchi sio kila siku mabondia kucheza mjini dar e salaam tu, watu wa mkoa wa pwani nao wapate nafasi ya kuwaona vijana wao wanaotikisa mjini kwani kibaha kuna mabondia wengi wazuri na wakali ambao hawajawahi cheza kwao , hivyo katika mapambano ya utangulizi kutakuwepo na mabondia wote wakali wa mkoa wa pwani wakicheza na wenzao toka sehemu mbalimbali za jiji kama vile Mustafa doto atazipiga na ramadhan max, huku shadrack ignas akioneshana kazi na fredy masinde,nae dogo janja Issa omar nampepeche atazipiga na Rajabu miafro na mapambano mengine mengi ya utangulizi .kiingilio kimepangwa kuwekwa kidogo ili watu wengi wapate kuja shuhudia pambano hilo la aina yake ambalo si la kukosa
No comments:
Post a Comment