ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 17, 2014

WATOTO DANIELLE, AALIYAH NA GIANNA WAWEKWA WAKFU KATIKA KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE CHURCH BOWIE, MARYLAND.

Mchungaji Igogo akiendesha ibada ya kuwekwa wakfu watoto Danielle Amanda Malinda, Aaliyah Jam Mpenda na Gianna Imma Nyang;oro iliyofanyika siku ya Jumapili Novemba 16, 2014 Bowie, Maryland nchini Marekani  Cathedral of Praise church.
Mchungaji  Magige akiendesha Ibada.
  Bishop Kalema aliyeongoza wakfu wa watoto hao akielezea sababu za kufanya hivyo badala ya kuwabatiza na moja ya sababu ni kwamba Yesu alibatizwa akiwa mkubwa na wakati alipokua mtoto alipewa wakfu sawa na sisi tunavyofanya hapa leo.

Bishop Kalema akishirikiana na wachungaji wengine wakimweka wakfu mtoto Aaliyah

Bishop Kalema akishirikiana na wachungaji wengine wakimweka wakfu mtoto Gianna

Mtoto Gianna akimsikiliza Bishop Kalema wakati alipokua akiwekwa wakfu
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Wanajumuiya wapya wakanisa la Catheral of Praise wakibarikiwa wakati walipojiunga na kanisa hilo.
Mchungaji Magige na Bishop Kalema
Wachungaji John Mbatta(kushoto) na Igogo
Mr & Mrs Mgawe.
Beatrice na Mary
Rais wa Jumuiya ya Wtanzania DMV akihudhuria Ibada hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

Wadau wenzangu naomba kuuliza kuweka watoto wakfu inakuwaje naomba nielimishwe mimi si dini yangu hii nataka tu kujua kwa nia ya kuelimika.Ahsanteni