ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 20, 2014

Invitation to Illuminata Tarimo's memorial/celebration of life - Saturday

Iluminata Tarimo ni Mtanzania aliyeishi hapa New York miaka ya nyuma amefariki Dunia nchini Tanzania,kutokana na kuishi vizuri na watu,Washirika wake aliowahi kufanya nao kazi wakati akiwa hapa New York wameamua kukutana na kufanya hiyo Memorial ili kuyakumbuka mazuri yake pamoja na kumuombea kwa Mungu.wanaomba Watanzania tushiriki kwenye Kumbukumbu hii.Lazima tuthibitishe ushiriki kwa simu kama Tangazo kinavyojieleza.

Uongozi
New York Tanzania Community.
Dear colleagues and loved ones of our beloved Illuminata Tarimo,

We will gather in remembrance and celebration of Lumie's brilliant life. A time together to honor her and comfort one another. We welcome your stories, poems, personal dedications.....DATE: NOVEMBER 22, 2014.
AT St. Cecilia's Parish.Address; 125 EAST 105th Street.NEW YORK, NY 10029. ( between Lexington and Park Avenues).
Time ; btn 1.00pm to 3.00pm
pls RSVP (347) 484-6010 MS CRISTINA Or


No comments: