Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, Ridhiwan Kikwete amefanya ziara Jimboni kwake na kugawa Baiskeli 221 kwaajili matawi yote ya CCM jimboni humo kusaidia shughukli za uchaguzi Serikali za Mitaa na Vijiji.
Baiskeli hizo ziligawiwa kwa Makatibu wa Vyama kutoka ofisi hizo za CCM.
Katibu wa Mbunge wa Chalinze, akiwa na baadhi ya Makatibu wa Matawi ya CCM.
Katibu wa Mbunge akiwa na mtaalam wa uchimbaji maji na vifaa vyao katika Shule ya Sekondari ya Wafugaji Moreto ambako kisima cha maji kwaajili ya wananchi kitachimbwa.
Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete akiwa na watoto jimboni kwake.
Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete alifanya Mkutano na wapiga kura wake nyumbani kwa Balozi wa Chama Zimbili, huko Mandamazingara ambapo alisikiliza kero mbali mbali za wananchi na kuzungumza nao.
Pia alizungumza na mtu mmoja mmoja ...
Akihutubia hadhara hiyo ya Mandamazingara nyumbani kwa Balozi wa Shina.
Akichukua namba ya simu ya Mpigakura wake..
1 comment:
Nyakati za chaguzi ndio tunajitokeza kugawa vifaa na kutoa fedha!! hizi baiskeli ni kiwango kidooogo saana cha kete kilo chache tuu!! Gharama yeke na huduma ya maendeleo kwa wanakijiji ni ndogo saaana!! tuweni wakweli!!
Post a Comment