ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 30, 2014

JACOB NA IRENE WALA KIAPO CHA PINGU ZA MAISHA

Jacob na Irene wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 Upper Marlbolo Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Jacob na Irene wakiwa wameingi kwenye ukumbi wa sherehe ya harusi yao.
Jacob na Irene na wapambe wao.
\Jacob na Irene wakipata chakula.
Irene na mpambe wake wakipata chakula.
Jacob na mpambe wake wakipata chakula.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: