Advertisements

Thursday, November 27, 2014

JEFF AKUTANA NA WADAU MBALIMBALI DAR WALIOMFARIJI

 Jeff akiwa na wadau waliowahiishi Maryland nchiniMarekani George Mwaswaliba (kushoto) na Mosi (kulia) walipokutana nae wakati wa kipindi cha msiba wa mpendwa mama yake Dar es Salaam..
 Jeff akiwa na Ronnie Maganga jiji Dar es Salaam
 Jeff akiwa na mama Maganga
Jeff akiwa nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga siku walipomwandalia chakula cha jioni kwa ajili ya kumfariji kwa msiba wa mpendwa mama yake.

No comments: