Jose akijaribu kupuliza mshumaa alipokua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwake siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 DMV na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Jose akimlisha keki mama mwenye nyumba wake.
Mama mwenye nyumba amkulisha keki Jose
Mdhamini wa pendo lake Jose akimchum huku akmpa zawadi yake.
Aunty Asha akimzawadia Jose.
Zawadi zikiendelea.
Zawadi hizo kwa Jose.
Picha zaote na mwakilishi wa Vijimambo Maryland Aloyce Mbullu
kwa mapicha ya kumwaga bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment