Latifa(kushoto) katika picha ya pamoja na ndugu zake kwenye kisomo cha mpendwa mama yake Mwanakondo Mohamed Jumbe kilichofanyika siku ya Jumamosi Novemba 16, 2014 jijini New Yeork jimbo la New York nchini Marekani.
Watanzania wa New York wakijumuika pamoja na Latifa kwenye kisomo cha mpendwa mama yake Mwanakondo Mohamed Jumbe kilichofannyika siku ya Jumamosi Novemba 16, 2014 NYC, New York nchini Marekani.
Ndugu, jamaa na marafiki wa familia wakiwa katika picha ya pamoja
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
4 comments:
jamaa bob marley ndo nani yule jamani
huyo anaitwa Musa Msieralioni au kidume
ahsante kwa kunijulisha jina la jamaa huyo bob marley.na mashallah mmependeza sana wenyewe,wanaume kwa wanawake mashallah ndo inavyotakiwa hivi waislamu tupendane popote pale tulipo na tudumishe dini yetu na pia tuka vyema na amani na ndugu zetu wasio katika dini yetu,tuwapenda tushirikiyane,duniani ni mapito hujui nana atakufaa katika dunia hii.
mashallah Allah akuzidishiyeni kila la kheir wote mliojumuika na mlio shindwa kujumuika.hakuna kitu chema kama ummoja wetu na dini yenu.na kufarijiana na kusherehekeyana bila kinyongo.
ahsante tena kwa muhusika aliyenifahamisha jina la jamaa bob marley.
Nani kakwambia Mussa ni west African kutoka Sierra Leone? Acheni kuzusha. Jamaa mtanzania.
Post a Comment