Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi kongamano hilo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF, lililofanyika Novemba 5, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji na Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta binafsi nchini, ( TPSF), wakimsikiliza makamu wa rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Jumatano Novemba 5, 2014
Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo
Dkt. Bilal akisalimiana na baadhi ya washiriki
Dkt. Bilalna uongozi wa juu wa TPSF, wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki







No comments:
Post a Comment