Advertisements

Monday, November 24, 2014

MWALIMU "AIBOMOA" CCM SINGIDA, WANACHAMA LUKUKI WAHAMIA CHADEMA

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu akiwalisha kiapo cha uzalendo wanachama wapya katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida waliohama kutoka Chama Cha Mapinduzi, katika moja ya mikutano 'Operesheni Delete CCM', uliofanyika mwishoni mwa juma kijijini hapo.
Wananchi wapatao 350 waliokuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku wakila kiapo cha uzalendo baada ya kujiunga na chama hicho kwenye moja ya mikutano ya 'Operesheni Delete CCM' uliohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa wiki.

1 comment:

Anonymous said...

CCM WAMETULIZA SAANA WATANZANIA HUU SIO WAKATI WA KUWACHEKEA HATA KIDOGO. nimekuwa na CCM miaka nenda rudi nyakati za uchaguzi wananunua watu bila kuficha ni wafisadi watupu nawaogopa sana sasa hivi nimegundua ni wezi watupu.!!