ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 27, 2014

PUNGUZO LA ASILIMIA 40 KWA MTANZANIA ATAKAYETIBIWA HOSPITALI YA IRAN YA DUBAI

Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakitia saini makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai
Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakibadilishana hati za makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai
Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakionesha hati za makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai

No comments: