Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na ushauri .Kulia kwake ni Daktari wa Rais Profesa .Mohamed Janabi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland alikotolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume wiki iliyopita..Rais Kikwete anatarajiwa kurudi tena hospitalini hapo Jumatatu kwa ukaguzi wa maendeleo ya kidonda na
ushauri.
Picha na Freddy Maro
14 comments:
nataka kuliza uprofessa kaupata wapi doctor wa rais.because nimesoma naye mimi Iam so curious.au nimtu tu unaupata siku hizi uprofessor just like that
sasa alitolewa nyuzi hotelini au hospitali ? Kama jibu ni hospitali inamaana alirudishwa ,YES or NO ? Unafikiri hawa watoa habari za ikulu watataka na kupenda wewe Mtz ujuwe ukweli halisi ? Jawabu ni Noway they can tell you the truth na tunaona sakata la escrew limejaa uwongo kila wanapolieleza.
Jamaa amerudishwa tena hospitali na umeonekana uvimbe mwengine ndio huo unachunguzwa ,hilo la kutolewa kamba sijalisikia hasa kwa operesheni za siku hizi ,mambo ya kamba ni yakizamani ,pengine wameondoa nyuzi baada ya kuona kile nilichokieleza kuwa tezi limesita kuja juu.
Uzuri Watanzania huwa tunafarijiana kwenye Misiba na Ugonjwa LAKINI baada ya hapo BIFU linaendelea kama kawaida!!! JK ana bonge la MSALA wa UFISADI wa fedha za Watanzania via ESCROW a/c linamsubiria!!! aidha awang'oe majizi au Wamng'oe yeye... " Mambo mbili shurti tokea apa bongo sometime soon bana"!!!!
jamani naomba kuliza ile number ya raisi wetu ukimtumia message ni yeye anajibu au kuna mtu au auto system inajibu nauliza. kwa sababu unamtumia message na kumuakima kama shikammoo au vyovyote vile na kumpa pole basi hata ile shikammo/salaam yako hakujibu ila ahsante sana nashkuru ndo maana nikashtka na kuulizia swali hili.
because ninavyomja mimi raisi wet jk ni msataarabu na muungwana sana haiwezekani asikujibu salaam yako unavyomuamkia.
so jamani mlio anzisha hiyo number ya raisi kuweni wastaarabu mnapojibu message zetu tunataka kumjulia hali raisi wetu na tunamuombea apone na si zaidi ya hapo.
kuweni wastaarabu mijameni.
professor doctor jenabi pink tie is not cool on you
sarakasi zimeshaanza
Watanzania wa kimarekani wajinga sana samahanini sikusudi kukutukaneni ila nachoshanga ni kwamba hivi kweli mnaweza kandika news kama hii, atolewa nyuzi na tehnologia yote mliyonayo na akili zenu za kuona mambo na kusoma mambo mengi ya huko bado mnaamini mambo ya kutolewa nyuzi. no wonder wasomi wanakuzaraulini na wakija wanakutazameni tu na wao wanafanya yao na hamsini zao kazi nyinyi kujipendekeza kwao.
nendeni mkasome mko huko mnatia aibu .kutolewa nyuzi kwani yupo bihalamulo yeye mpaka atolewe nyuzi.
umeonaee! wanataka kuficha ukwel kuwa kaenda kuipoza inshu ya meno ya tembo watz kwa kudanganywa duu! mungu atusaidie hamna lolote hapo tezi dume mpaka marekani
Wakuu wa vijimmabo jamani msituone sisi watanzania mbumbubu/mburulaaz kama hatujui chochote, matibabu mengine akienda mbona huwa hamuyaatangazi hivi? hapa tunapigwa change la macho tusahau kuwa amekwenda kupiga magoti kwa obama kwa kusafilisha meno ya tembo kwenye ndege ya rais wa china xi.
sidhani kama raisi anaumwa na kama anaumwa basi pole sana lakini naona yeye anaumwa na ugonjwa wa escrow na mazingira yamejengwa ili tumuonee huruma raisi nafamily yake ili sakala la escrow lizimike kimya kimya.
Tanzania tuna Madaktari kibao tena mabingwa wanaitwa, wanashindwa kweli kupasua hako kaugonjwa? hivi mnaju maana ya mru kuwa Raisi? anatakiwa alindwe kwa kila kitu, sio mnamlinda na mabunduki harafu kwenye tiba mnamwacha kwa nini msitumie au mtenge bajeti hata ya jujenga hospitari ya kumtibu Rais tu? kama mtu anania mbaya na hii nchi atashindwa nini kutuuulia rais wetu? kwanini mna dharau kiasi hiki jamani hata Rais? Kiongozi mkuu wa nchi, ama kweli mnachosha
picha hii bado inaendelea sijui ina part ngapi.
Go home and deal with the corruption issues!
upone haraka inshallah rais wetu... prof. jakaya
Post a Comment