ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 3, 2014

TAARIFA YA MSIBA DMV

JEFF DEO NKANDA (JAFFARI), Mtanzania mwenzetu DMV anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mama yake mzazi marehemu Delphina Muyinga kilichotokea Tanzania. Jaffari anategemea kusafiri Jumatano Novemba 5, 2014 kuelekea Tanzania kumpimzisha mama yake katika nyumba yake ya milele . 

Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake. 

Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii 
 5701 UNION BRIDGET CT, 
BOWIE 20720. 

 Kwa maelezo zaidi na maelekezo unaweza kupiga simu
Asante.

1 comment:

Anonymous said...

Pole rafiki kwa msiba huo mzito. Mungu akutangulie ufike salama rujewa.