Advertisements

Sunday, November 23, 2014

WATOTO LISHA SHARIF NA WILLIAM RAMADHAN WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA BOWIE, MARYLAND NCHINI MAREKANI.

Mtoto Lisha Sharif akiwa kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 12, siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 iliyofanyika nyumbani kwao Bowie, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki waiwemo wanafunzi wenzake waliofika kusherehekea nae siku hiyo maalum katika historia ya maisha yake.
Mtoto William Ramadhan  akiwa kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 8, siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 iliyofanyika nyumbani kwao Bowie, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki waiwemo wanafunzi wenzake waliofika kusherehekea nae siku hiyo maalum katika historia ya maisha yake.
Lisha akiwa na watoto wenzake wakiwemo marafiki zake kutoka shuleni kwake.
Lisha na William wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao waliokuja kushereheka nao kwa siku hiyo ya siku zao za kuzaliwa.
Baba na mama wakiwa na mtoto wao Lisha pamoja na marafiki za mtoto wao.

kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

No comments: