Sunday, December 7, 2014

AJ UBAO AONGEA KWA NIABA YA DMV ALL STARS-MSIKILIZE

5 comments:

Anonymous said...

Nani kanunaaa. Nyota bado iko juu watanunajeee

Anonymous said...

Jamani siungeongea kiswahili.

Anonymous said...

Asante kila kitu kilikuwa Superb!

Anonymous said...

Sasa wewe unawakilisha Wa Tanzania kweli? Kama unaongea na jamii ya wa TZ tumia lugha yetu, hizo whats up whats up nyingi na ma men zimepitwa na wakati..

Anonymous said...

Kingereza chenyewe cha kawaida nanga zinapaa sembuse unataka kuongea cha kimarekani zungumza kiswahili utapa heshima