Sunday, December 7, 2014

SHUKURANI ZA DHATI

Natanguliza shukurani za dhati kwa Brother DMK, Ligate and Brother Batamulwa Kwa amazing Uhuru celebration event.

Kweli mmefanya kazi nzuri na wote tumeshereheka. Kila kitu kilikuwa 100%. Ratiba, chakula na Huyu Diamond ndio kabisaa. 

Tunajisikia kwa sababu yenu na tuna faraja kama watanzania tunapoona wenzetu mnafanya vitu vya uhakika na vyenye kukamilika kama hiki.
 
Tunawaombea mungu awaongezee na kuwanyooshea mambo yenu. 
Watanzania tukiwa pamoja tunaweza. 

Wenu.
Iddi Sandaly 
Rais DMV

No comments: