Sunday, December 7, 2014

Balozi Kamau azungumzia uamuzi wa ICC kuhusu Kenyatta


Mwakilishi wa kudumu wa
Kenya katika
Umoja wa Mataifa
Balozi Macharia
 Kamau.
(Picha ya UM/Mark Garten)

Siku ya Ijumaa tarehe Tano Disemba mwaka 2014, mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi ilitupilia mbali mashtaka dhidi ya Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashtaka Mkuu Fatou Bensouda alieleza kuwa uamuzi huo unazingatia kuwa hawana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibisha pasipo shaka mashtaka matano yaliyokuwa yanamkabili Kenyatta. Kufuatia uamuzi huo, Joseph Msami wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa, alizungumza na Mwakilishi wa kudumu wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Macharia Kamau ambaye hapa anaanza kwa kuelezea walivyopokea tangazo hilo. Bofya hapa kwa maelezo zaidi


No comments: