ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 6, 2014

CHELSEA FC YAKUBALI KIPIGO CHAKE CHA KWANZA YACHAPWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED

Mshambuliaji wa timu ya Newcastle, Pappis Cisse akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 57 kipindi cha pili dhidi ya Chelsea katika Uwanja wa St James' Park.
Pappis Cisse (kushoto) akifungia bao la pili timu yake ya Newcastle dakika ya 79.
Wachezaji wa timu ya Newcastle wakishangilia kwa pamoja.
Kipa wa Newcastle, Jak Alnwick akiokoa moja ya mashambulizi ya Chelsea.
Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Drogba (katikati) akishangilia bao lake dakika ya 83. GPL

No comments: