ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 6, 2014

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali 
Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyo
Baadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo wakati wa mashindano ya taifa ya ngumi yanayo endelea katika uwanja wa ndano wa taifa kutoka kushoto ni Meja Rodgers Daudi ambae pia ni refarii na jaji wa mchezo wa masumbwi Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga 
VIONGOZI WAKIFATILI MCHEZO WA MASUMBWI UNAVYO ENDEREA
Mabondia Bosco Bakari wa JKT kushoto akioneshana umwamba kutupiana makonde na Atanas Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoenderea katika uwanja wa ndani wa taifa 
Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakipiga picha mbele ya uringo mpya wa BFT kutoka kushoto ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis rais wa TPBO na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini SUPER DIEGO wa Mapambano
Mabondia Babu Luda wa Morogoro kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali 
Bondia Fred Julius wa Kigoma kushoto akitupiana makonde na Robert Kyaruzi wa Bukoba wakati wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa masumbwi nchini yanayo enderea katika uwanja wa ndani wa Taifa Kyaruzi alishinda kwa K,o ya raundi ya pili 
Mabondia Babu Luda wa Morogoro kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments: