******KAZI **JOB OPPORTUNITY**KAZI******
1. IT/ TELEPHONE TECHNICIAN – PART TIME
Kwa Mtanzania yeyote ambaye amesomea IT na Networking na ambaye anaweza kufanya kazi za wiring, computer networking, virus removal and shughuli zinazoendana na hizo anaombwa kuwasiliana na VIJIMAMBO ili kuchukua part time job katika mojawapo ya ofisi za watanzania hapa DMV. Kazi hii inahitajika wikI ijayo kuanzia Dec 8, 2014.
2. HEALTHCARE WORKER ( HOURS PER DAY 6:00AM-8:00AM )
Uwe ni dada au mama unayejua shughuli za ndani. Kazi ni kumwandaa mteja na kumpeleka shuleni kwa kutumia gari lake au usafiri wa serikali. (Uzoefu hauhitajiki sana lakini kama unaendesha ni vizuri zaidi. Siyo lazima ujue kuzungumza Kiingereza). Kazi hii iko wazi kuanzia tarehe 2 January 2015 kuanzia 6:00am -8:00am Jumatatu mpaka Ijumaa, siku za kazi tu.
Malipo ni Maelewano
No comments:
Post a Comment