Diamond Platnumz akimwimbia shabiki wake Osama Mwita kutoka Tanzania wimbo wa siku ya kuzaliwa siku ya Jumamosi Desemba 6, 2014 kwenye sherehe ya Uhuru ilizofanyika katika hotel ya Sheraton Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Diamond akiendelea kumwimbia shabiki wake huyo ambaye usiku wa Desemba 6, 2014 ilikua ni siku yake ya kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment