ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 24, 2014

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOWACHENGUA WASHINGTON DC SHEREHE ZA UHURU DEC 6 - OFFICIAL PHOTOS .

   Promota DMK na Ligate wakiwekana sawa na Diamond na Madansa wake Kabla ya Kwenda Ukumbini Kuanza Show
                               Promota DMK Global na Diamond Wakigonga It's a Go Time.
                               Promota DMK Global na Diamond Wakigonga It's a Go Time.
                          Safari ya Kuelekea ukumbini sasa ikaanza wakiongozwa na Bwana Innocent
                                     Bwana Inno,Phanuel na DMK wakipata ukodaki kabla ya kuingia
                                                       Final Words na Bwana DMK
                                         Nenda Kamwambiae....Kazi ndo sasa Inaanza
                     KWA PICHA ZAIDI BOFYA   DMK411.BLOGSPOT.COM

7 comments:

Anonymous said...

dmk nakupongeza sana kwa kumleta diamond siku zote nilikuwa natamani mwimbaji huyu aje u.s.a hongere sana

Anonymous said...

watazamaji wako wapi jamani?mleteni new York ndo kwenyewe siku hizi kuna wika kuliko Dmv

yoo said...

Watazamaji bofya hapo ulipoambiwa kubofya zinaendelea

Anonymous said...

Jamani tusidanganyane apa DIAMOND kaletwa na mtu mwingine kabisaa boss ni kaka alievaa koti nyekundu na katulia tulii wengine wapiga kelele tuu ,aya chrismas njema bwana Yesu asifiwe.

yoo said...

Bwana Asifiwe,Na azidi kukuzidishia sku nyingine boss akileta msanii mwingine uje na wewe pia utuunge mkono,Amen

Anonymous said...

ahsante anonymous wa at 9;47 kwa kutupa ukweli wa ujio aliyemleta diamond na ni kweli wengi wana makelele na masifa utadhani wao ndo wamemleta,wanapendaga misifa mwanzo mwisho.

na Usani mwanzo mwisho eti tupofyee na tumewekewa mipicha ya watu walio red carpet yesu wangu USANi mwanzo mwisho.

any way krismas njema na mwaka mpya mwema. acheni misifa boss si mhaya ndo maana katulia tuli wahaya wana misifa haooooooooooooo

yoo said...

Ahsante sana Anony wa 9:45,Ukweli ndo huo hata sisi tunamshukuru sana boss mwenye nyekundu kwa kutuwezesha kupiga kelele bila woga,nakutuwezesha kufanya usanii mwingi wakati yeye katulia,Natunaomba Mungu azidi kumzidishia ili atuletee msanii Mwingine nasisi tuweze kupiga kelele tena.Tunachofurahi niwatu walipata burudani safi bila kujali nani kamleta Msanii.By the way Mie so mhaya mi Musoma line wahaya watani zangu ,XMAS njema uwe na Amani tu kiroho safiiii.