Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza show wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania,
Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.
Balozi akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania Bara na pia aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake
Shabiki akicheza wimbo wa mdogo mdogo
Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa.
Shabiki akimtunza Diamond.
Mvua ya noti ikimnyeshea Diamond
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment