Sunday, December 7, 2014

DMV ALL STARS NI BALAA WIMBO WAO WA UHURU WATIA WATU KIWEWE

Mwanamuziki Dominic akishambulia jukwaa na wimbo wao wa Uhuru ulioimbwa na kikundi cha DMV all stars uliofanya mashabiki akiwemo Afisa Ubalozi Suleiman Saleh kuacha viti vyao wakisimama kuwashangilia kwa jinsi walivyoimba kwa kushirikiana na kwa ustadi mkubwa ndani ya ukumbi wa Sheraton hotel iliyopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mwananmuziki  wa kizazi kipya DMV Mr. TZ aka San Tz akifokafoka wakati kundi lao la DMV all Stars walipokuwa wakiimba wimbo wao wa Uhuru.

Mwanamuziki AJ Ubao akishambulia jukwaa

Mwanamuziki wa kizazi kipya Prince Hery akifanya vitu vyake,
Mwanamuziki wa kizazi kipya Ebrezzy akitoa burudani kwenye sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika DMV akiwa na kikundi cha DMV all stars na wimbo wao maalum wa Uhuru.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

1 comment:

Anonymous said...

Suti ya muimbaji mmoja basi inalebo za dukani refund ninii baada ya show