ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 10, 2014

DOREEN PAMBE AKAMATA NONDOZ YA SHERIA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO

\
Doreen Pambe katika pozi siku ya Ijumaa Desemba 5, 2014 siku alipokamata Nondo ya sheria (LLB) Chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.
Doreen Pambe katika picha ya pamoja na baba yake mzee Pambe siku alipokamata Nondo ya Sheria kutoka chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.
Doreen Pambe katika picha na mama na baba.
Doreen Pambe akipata picha ya upendeleo baada ya kukamata nondo ya sheria kutoka chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.
Doreen Pambe akiwa na wahitimu wenzake katika picha ya pamoja.
Doreen Pambe akiwasili nyumbani Kihonda, Morogoro huku akisindikizwa na ndugu, jamaa na marafiki kwa ajili ya chakula cha jioni alichoandaliwa kwa ajili ya kumpongeza kwa kukamata nondo ya sheria toka chuo kikuu cha Mzumbe kilichopo Morogoro.
Doreen akigonganisha glasi na mzee Pambe wakati wa chakula cha jioni kama ishala ya kumpongeza katika kuhitimu masomo yake na kukamata nondo ya sheria kutoka chuo kikuu cha Mzumbe, Morogoro.
Bibi akipata picha katika siku hii muhimu na kumbukumbu kwa Doreen kukamata nondo ya sheria.
Doreen katika picha ya pamoja na marafiki zake waliofika nyumbani kujumuika pamoja nae kwenye chakula cha jioni baada ya kukamata nondo ya sheria kutoka chuo kikuu cha Mzumbe, Morogoro.
Wageni waalikwa katika picha.

1 comment:

Anonymous said...

afadhali mama umekamata nondo hii na uje ufanyia kazi usiwe kama mtoto wa mkulu hata kesi ya wizi wa kuku imemshindwa kuisimamia kortini tunambiwa kasoma sheria halikini hana chochote anachokijua au kukisimamia cha kisheria kichwa cheupe ufisadi tu no anaujua.