ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 10, 2014

Viongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete ikulu

Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam

Picha ya pamoja
(picha na Freddy Maro)

1 comment:

Anonymous said...

dua ni mmoja za madhehebu yote haifai.na tunataka pesa zetu.habari ya dua baadaye.
wote baada ya dua watapewa bahasha zao nono watafurahi tu.mfyuuuuuuu..