ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 1, 2014

HONGERA SHARIFA OTHMAN KWA KUKAMATA NONDO

 Sharifa Othman wa Dar-Es-Salaam akiwa kwenye pozi na nguo yake ya heshima siku ya graduation yake iliyofanyika Raila Odinga Ground. Sharifa Othman aligraduate na kujipatatia nondo za barchelor of pubblic relations and marketing katika Universty ya St Augustine huko Mwanza.Vijimambo timu inatoa pongeza kwa Mama mzazi wa Sharifa kwa kuwezesha watoto wake kutimiza ndoto zao za kupata elimu za juu.
 Sharifa akismile mbele ya ukodak baada ya kujianda tayari kwa kuenda kupokea nondo zake alizozipigania kwa miaka mitatu chuoni hapo, Vijimambo timu inakutakia mafanikio mema na elimu ya juu zaidi ya hapo ulivyofikia. 
Use your smile to change this world, but don't let this world change your smile.


 Smile za kisomi hizo Sharifa akiwa na marafiki zake mbele ya ukodak shuleni hapo 

1 comment:

Anonymous said...

It wasn't easy but namshkuru Mungu kwa uweza wake. Mama yangu mzazi hakika ni nguzo yangu na tegemeo langu kubwa katika ndoto zangu.. Nashkuru team ya vijimambo