ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 13, 2014

JAFARY NKANDA ATEMBELEA PANDE ZA LAS VEGAS AND CASINOS

 Jafary Nkanda mazi wa DMV akiwa Las Vegas alipotembelea weekend hii na kukutana na marafiki zake wa siku nyingi.
 Jafary akipata ukodak kwenye muonekano wa jiji la Las Vegas.
 Kivazi cha Michael Jackson ndani ya jiji la Las Vegas.
 Jafary Nkanda akiwa na marafiki zake nje ya Casinos ndani ya jiji la Las Vegas alipotembelea kipande hizo wikiendi hii.
 Jafary Nkanda akiwa na marafiki zake kwenye mgahwa mmoja wapo Las Vegas.
 Jafary na marafiki zake katika picha ya pamoja
 Jiji la Las Vegas linavyoonekana

No comments: