Mpiga Drams wa bendi ya African Stars, Twanga Pepeta, James Kibosho, (pichani kushoto) akisaini mkataba na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul 'Diamond', kwa ajili ya kuanza kupiga kazi pamoja. Imeelezwa kuwa Kibosho, aliamua kupumzika kutoka kundini Twanga, tangu mwezi uliopita.
Credit:SufianiMafoto
No comments:
Post a Comment