ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 11, 2014

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA

Mh:Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.
Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba baada ya Wananchama zaidi ya 17 kuhamia CCM Karatu Mjini.Ndugu Raulenti Bonta ambaye ameikacha CHADEMA na kuhamia CCM akiwapungua mkono Wananchi wa karatu.Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Karatu Mjini akivalia Vazi la Chama cha mapinduzi kuashiria kuwa yeye ni CCM Dam Dam.
Mkutano Ukiendelea Mwananchama Mpya aliyeikacha Chadema akisalimiana na Mh:mwigulu Nchemba.Mwigulu akisisitiza kuwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni nguzo ya Kusimamia maendeleo ya Halmashauri zetu.Hivyo wachaguliwe viongozi wenye uwezo wa kusimamia maswala ya Umma.CCM OyeeeeMwigulu "CCM haipo tayari kuela Mafisadi,yeyote anayehujumu Nchi nilazima achukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wengine.

1 comment:

Anonymous said...

Mheshimiwa Mwigilu, Tulidhani ukiwa kama naibu wa wizara ya FEDHA swala muhimu kwako na waTanzania wote wakuelewe ungeweka kipaumbele kutetea fedha za waTanzania zilizogawiwa kiaina kutoka account ya ESCROW ili zirudishwe! pamoja na kwamba swala liko uchunguzini sidhani kama huu ni wakatai wa kutetea sana chama chako cha CCM kwani wanaonekana viongozi wake ni walaghai na wezi sasa unaonekana kuwaunga mkono ili hadhithi yote iweze kuyeyuka!! Changa la macho hili kwa waTANZANIA!! Where are we heading to??? fedha kwanza siasa baadae!