
Naibu katibu Mkuu alipowasili Haidom hii leo kwenye
Mwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa HAIDOM mkoani Manyara hi leo.
Mwigulu
Nchemba akiwasisitiza Wananchi kuwa Uchaguzi wa serikali za Mitaa sio
Mashindano ya Vyama.NI uchaguzi wa kuchukua hatua za Mbadiriko kwa
Vitendo kwa kuwaondoa wale wasio faa na kusimamisha wagombe wenye tija
kwa Wananchi wa Tanzania.Na wagombe hao ni wale wanaotokana na chama cha
Mapinduzi.
Mamia ya Wananchi wakisikiliza Ujumbe kutoka kwa Comrade Mwigulu Nchemba.
No comments:
Post a Comment