Kia aliyemuzunguka kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni
alishutushwa na kicheko cha kamanda ! watu tunajiuliza kulikoni kamanda kafurahi mpaka meno yote yanaonekana !
Labda tujiunge nao FFU ili kujua zaidi kulikoni kamanda kacheka sana at www.ngoma-africa.com

1 comment:
msela wa kariakoo kafurahi simba 2- yanga 0
Post a Comment